Tuesday, 25 June 2013

MBUNGE SUGU ASHIKILWA NA POLISI

MBUNGE SUGU ASHIKILWA NA POLISI


Hizi ni habari ambazo nimezipokea si muda mrefu sana,Mr ii aka MH. SUGU amekamatwa na polisi leo asubuhi akijiandaa kwenda kwenye kikao cha press talk katika ukumbi wa Balaza la Sanaa la Taifa(BASATA),mpaka sasa haijafahamika sababu za kukamatwa kwa mkongwe huyo wa muziki wa Hiphop nchini..


Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi amegoma kufuta kauli ya kumtukana waziri mkuu na kusema

“Naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!

Sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end…Kwanza ‘upumbavu’ sio tusi, upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge and understanding…

So hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na ‘understanding’ juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa then u r ‘stupid’…ambapo kwa kiswahili ndio ‘mpumbavu’
 


No comments:

Post a Comment